- Idadi hiyo ya vifo ni kubwa zaidi kutangazwa ndani ya saa 24 na sasa vifo nchini humo vimefikia 32,917 kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu John Hopkins
- Hata hivyo, vifo hivyo vinaweza kuwa vinajumuisha watu waliofariki wakihusishwa kuwa na #COVID19 na Madaktari kujiridhisha hivyo lakini bila mgonjwa kupimwa maabara
- Awali, Marekani ilikuwa ikitangaza idadi ya vifo vya wagonjwa waliopimwa maabara na kuthibitika kuwa na Ugonjwa huu
#COVID19_Updates
No comments:
Post a Comment